Ushauri: Idris Sultan biashara itakutoa achana na uchekeshaji

Mmh dah! Hv what's so special about this chick? Me nasomaga tu pipo zkpata mpunga ni kumtafuta tu huyu manz af mwsho wa siku zkiisha penzi hakuna.
 
Huyu chalii atafika mbali kama kanumba..ngoja lile dili lake la hollywood litiki...
 
Ukisema ukweli unaonekana hater ila anajilazimisha sana uyo boya...hana kipaji afu iyo accent yake ya mkoani inaboa pia
Ila accent ya wanaume wa dar ndo unaona iko poa,mwanaume anaongea kama anakuna nazi vile.
 
Jamaa afanye kitu ingine, hii ya kuchekesha sidhani kama ni mchekeshaji aache kufosi kingi
 
Huyu chalii atafika mbali kama kanumba..ngoja lile dili lake la hollywood litiki...
Hawezi kufika mbali huyo. Mtu kapata M500 zote kamuhonga wema mwisho wa siku anaomba kazi Choice fm ili alipwe 650000. Pesa na utajiri unataka Nidhamu ya Hali ya juu.
 
Watu Tunadaiwa Luku, kodi za Nyumba , ving'amuzi, Ada za Watoto ,michango ya kumtibu tundu lisu n.k ... Hatucheki hovyo hovyo ajipange
 
To be honest sioni comedy kwake ... sija wai kucheka chochote kutoka kwa huyu jamaa..

Wapo wanao cheka wapo wasio cheka... Tanzania tuna comedians wengi sana am sure top 20 huyu haiingii tukianza kuwa panga hapa, wakina kiwewe,mkwere,masanja, mpoki, joti, katarina karatu, mzee majuto,kipepe,mkali wao, bambo,kigwendu, aisee list ni ndefu mno!

Ali wai kuja Mwanza some past years nika sema hapana em leo nika jionee comedy ya huyu Idris nasikia ni shida mjini sasa hivi....

Bullshit! Hakuna alicho fanya ... Rubbish wakina Eric Omondi na yule mwenzake ndio walifanya watu waka cheka ... nilikua disappointed sana... toka hapo sikutaka kufatilia tena career yake hio...

Ushauri: Standy up comedy sio mchezo tena hakuna comedy ngumu kama stand up comedy : Lazima uwe mtu wa kwenda na wakati, mtu wa adventures , safiri kadri uwezavyo maeneo mbali mbali nje na ndani ya nchi kusanya stories unazo kutana nazo uwapo safarini, jifunze culture za watu mbalimbali ikiwemo lugha, vyakula, uvaaji, matamshi, tembea na ongea yao, soma vitabu na articles mbalimbali kufungua ubongo na kujua yanayo jiri...

Stand up comedy una kaa naku jitungia vichekesho... ? Mfano mdogo chukua stand up comedy ya Kevin Hart na Trevoh Noah uta gundua hawa ni watu wanao explore mno vitu.. wana soma articles, wana safiri sana, wana jifunza cultures mbalimbali hii ina wasaidia kua na stock nyiiingi sana ya vitu vya kuwa chekesha watu .
 
teh! Ngoja nije pm na mm kuna hela zangu nataka uzitafune kama za yule jamaa wa bba
 
Hua napenda kuchek Clouds Tv, akianzaga huyo jamaa (sibadilishi channel) nakamata imu yangu nazama JF
 
Penye ukweli uongo hujitenga Idris hana kipaji cha kuchekesha kabisa muonekano wake tuu Sio wa fani hiyo wewe mwangalie Majuto utacheka hata kabla hajasema. Usilazimishe fani ambayo huendani nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…