Ushauri: Idris Sultan biashara itakutoa achana na uchekeshaji

aaaah kiukwel kaka upo sahihii yaan hajawai nichekeshaa yani hana kipaji sema anajaribu kutengeneza jina kwa nguvu
 
kipaji cha kuchekesha si cha kutengeneza au kulazimisha,kuna watu hata ukimuona utacheka au akiongea hata kama anaongea mambo muhimu utacheka,kibongo bongo wengi wana force kuchekesha wengine kujivalisha vitu vya ajabu ilimradi waonekane kama wanachekesha.ndo tatizo
 
Mimi sioni kuwa tu hachekeshi ila siwezi hata kutabasamu nikiangalia hizo episodes zake..
 
Kwani akifanya biashara na uchekeshaji kwa pamoja itazuia nini
 
hr

Kwa nini mnapenda kupangia watu maisha? Eti angejenga nyumba........who told you kwamba kujenga nyumba ndo biashara yenye akili?
 
Idriss ni mwigizaji mzuri sana kwenye filamu. Aangalie huko
 
Kama ni kweli m500 kazichezea basi hatofanikiwa tena, kuishi dar kote bdo akawa mshamba kumshobokea wema,poor him
 
Huyu anachokifanya ni sahihi kutoa maneno ya mkulu kwenye hutuba na kupachika upuuzi wake,mbona naona anavuka mipaka au anatafuta kiki ktk defender?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…