Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hrApo kwenye kujenga nyumba tuko pamoja mkuuu
Kwa mpunga alio-upata ungetosha kabisa kuanzisha company yake Real Estate akajenga nyumba akapangisha like now angekuwa mbali hii biashara ni-low lisk na ingekuwa brand kubwa sana na wangepanga watu wakubwa katika nnchi yetu hata wasanii, kutokana na jina lake
Wema Sepetu amelamba mpunga wote
Shwari aisee...nimerudi leo huku JF ( hyo comment ilikuwa ya october 20)Mambo vp Joseverest? mbona umerudi kimya kimya za ulikotoka?
kwani nani kasema nilikuwa napiga pepaDogo pepa la form 4 lilikuaje aise!
nimerudi leo...hawajambo wazima kabisaDu umerudi, karibu sana huko ulikokwenda hawajambo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unachelewa sana siku izi mkuu