Ushauri: iitwe Tume ya Maridhiano na Muafaka wa Pamoja wa Kitaifa

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
3,250
Reaction score
5,509
Heri ya Mwaka mpya 2026 kwa kila mmoja, Mungu awe pamoja na kila mmoja kwa mwaka mzima.

Katika hotuba ya Mhe.Rais ya kuaga mwaka 2025 na kukaribisha mwaka 2026 alizungymzia suala la kuanzisha TUME YA MARIDHIANO YA KITAIFA mwaka 2026.

Niungane na wote waliopongeza hotuba hiyo iliyojaa matumaini makubwa ya wananchi hususani suala katika suala hilo la kuanzisha tume ya maridhiano ya kitaifa ila nina ushauri.

Ninashauri iitwe TUME YA MARIDHIANO NA MUAFAKA WA PAMOJA WA KITAIFA ili kuifanya kuwa ni shirikishi zaidi na ioneshe zaidi baada ya kufanyika maridhiano basi tume hiyo itakuwa na jukumu la kuleta muafaka wa pamoja.

Kwa heshima na taadhima naomba ushauri huu upokelewe na kuwasilisha kwa Mhe.Rais

Naomba kuwasilisha,
Napatikana kwa
0785 655 580
0715 804 254
 
Hatutaki maridhiano na shetwain....
 
Maridhiano ya nini wakati serikali haijakiri kuhusika ushenzi/uhuni walioufanya.
 
Umeweka na namba ili upigiwe na kupewa mserereko?Utaridhianaje na mtu aliyetuulia ndugu zako?
 
Heri ya Mwaka mpya 2026 kwa kila mmoja, Mungu awe pamoja na kila mmoja kwa mwaka mzima.

Katika hotuba ya Mhe.Rais ya kuaga mwaka 2025 na kukaribisha mwaka 2026 alizungymzia suala la kuanzisha TUME YA MARIDHIANO YA KITAIFA mwaka 2026.

Niungane na wote waliopongeza hotuba hiyo iliyojaa matumaini makubwa ya wananchi hususani suala katika suala hilo la kuanzisha tume ya maridhiano ya kitaifa ila nina ushauri.

Ninashauri iitwe TUME YA MARIDHIANO NA MUAFAKA WA PAMOJA WA KITAIFA ili kuifanya kuwa ni shirikishi zaidi na ioneshe zaidi baada ya kufanyika maridhiano basi tume hiyo itakuwa na jukumu la kuleta muafaka wa pamoja.

Kwa heshima na taadhima naomba ushauri huu upokelewe na kuwasilisha kwa Mhe.Rais

Naomba kuwasilisha,
Napatikana kwa
0785 655 580
0715 804 254
Another Lucas Mwashambwa in town! Namba ya simu umeweka ya nini ewe chawa uliyezidiwa na njaa tumboni?

Waambie hao mabisi wako unaotaka wakupe mchongo wa ulaji warudishe kwanza maiti zote walizo zizika kinyume na utaratibu ili wafiwa wawazike ndugu zao kwa kufuata taratibu zao za kiimani.
 
Huwezi kuuwa makusudi afu mfanye maridhiano..... kisasi lazima kilipwe,, hakuna damu itakayopotea bure
 
Huyo mama mwenyewe nae mmekuta amestaarabika sana

Tume ya maridhiano na nani? Au na
Wale vijana waliofanya Fujo Oct 29 Ili kuvuruga uchaguzi?

Au na wazazi wa wale vijana waliofanya Fujo wengine wakafa na wengine wakakamatwa ?

Au na TEC?

Au na CHADEMA?

Hu upuzi wa kuunda tume kama hii angekuwa Magu Wala usinge kuwepo

Yani watu walijipanga kuvuruga uchaguzi na nchi isitawalike alafu ukae nao mfanye maridhiano? Ni upuzi uliyo pitiliza
 
Tuliambiwa nguvu iliyotumika iliendana na aina ya tukio, sasa maridhiano ya nini tena? Aridhiane na polisi aliotuma kuua watanzania wenzetu
 
Ushauri huu umechukuliwa na tume ya uchunguzi wa vurugu imeshauri maridhiano na muafaka wa kitaifa
 
Back
Top Bottom