Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Mimi nikae namwanamke mzuri au.mbaya ..huwa nahakikisha namchekesha kiasi kwamba kuna mawili..
Aniombe yeye mwenyewe namba. Au km nipo interested nimuombe namba na lazima anipe tu.
Ivo mimi naamini kwa mwanamke yoyote nayekutana naye kwa mara yakwanza Lazima nimfanye acheke.