Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Naogopa kuchangia huwenda ni mdemu wangu utakaa nayeHelllooow
Kwa sisi tunaotumia usafiri wa umma tunakumbana na mengi. Ghafula bin vuu unakaa kwa seat Mara mrembo Naye huyo au unamkuta tayari yupo peke yake.
Hapa ndipo wengi hupitilizwa vituo au huombea foleni asifike mapema kituoni na wengine hutamani safari iwe ndefu badala ya kuishia mbezi anaona bora daladala liende mpaka chalinze
Tatizo linakuja kila mtu anamwogopa mwenzie japo umevutiwa
Sasa wanaume wenzagu ukikaa na demu mzuri anaevutia huwa unafanyaje?
1.unajifanya nunda?
2.mnapiga stories?
3.unaomba namba?
4.unamwagalia kwa kuibaiba?
5.unajifanya smart kuwa hushoboki ovyovyo japo karoho kanadunda?
Nauliza tu lakini.
Ooh my God .. I laughed[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unamuomba akulipie nauli
aha haaa aAah me huwa nampotezea balaaa.Ndo kwanza nafungua jf nafanya yangu.Sema atauliza tu ndo nini hiyo?si unajua wadada Kwa kupenda mitandao.Sema jf wengi hawaijui.
Nshagonga wengi kwa staili hyoHahahaaa, umenifurahisha mkuu. Kuna siku nimesafiri kwenda mkoani nimekaa na mdada mkali balaa, nikaanzisha story akawa anajibu chache chache. Tulipofika Chalinze nikanunua karanga soda na juice, nikamgawia akakataa. Nikajiemea poa tuu. Kituo kilichofuata nikanunua apple, yaani alilipokea kwa tabasamu kali. Kuanzia hapo tukawa friends na namba alinipa ila sikumfuatilia mpaka leo namba ninayo. Ila safari ilikuwa tamu yaani niliona tumewahi kufika
Uzuri wa mwendokasi kila mtu anakuwa ameshalipa nauli yake.Ukiona umekaa naye basi unanunua diamond karanga mbili halaf unampa moja
Najua atakataa tuu kula, baada ya hapo unaanzia hapo hapo stori. Usisahau na kumlipia nauli asee
Usidhani kila mwanamke unayekutana naye ni mjinga au ana akili ndogo kama zako.Hahahaaa, umenifurahisha mkuu. Kuna siku nimesafiri kwenda mkoani nimekaa na mdada mkali balaa, nikaanzisha story akawa anajibu chache chache. Tulipofika Chalinze nikanunua karanga soda na juice, nikamgawia akakataa. Nikajiemea poa tuu. Kituo kilichofuata nikanunua apple, yaani alilipokea kwa tabasamu kali. Kuanzia hapo tukawa friends na namba alinipa ila sikumfuatilia mpaka leo namba ninayo. Ila safari ilikuwa tamu yaani niliona tumewahi kufika
Unasumbuka bure kuwasubili wauza mbunye mpaka ukutane nao kwenye basi? Mbona wana vijiwe vyao vya kuwapata kwenye miji yote mikubwa?Nshagonga wengi kwa staili hyo
Utaacha lini uzwazwa?Ukishakaa kwenye siti hakikisha unamuangalia kwa kumkazia macho halafu mchekeshe then mlipie nauli na mpe pesa zaidi! Mpe pesa kadri inavyowezekana, mpe pesa nyingi, mpatie hela, jitahidi kumpatia fedha, na mwisho hakikisha unamwachia fedha kwa ajili ya matumizi.