Ushauri: Ili kuwahi kufika Mwanza ktokea Dar es Salaam panda SGR (Dar-Dom) malizia na basi

Safari ya Dar-Mwanza inachosha ili kupunguza muda wa safari kamata SGR mpaka Dom kisha kwea Basi mpaka Mwanza.

Asanteni
Ufike Dodoma ulikute basi unalotaka kupanda lipo, unaweza kushtukia unakuja kusubiri kupanda basi uliloliacha DSM saa 12, wakati ulippondoka kwa hiyo SGR, sijui utakuwa umepunguza nini.
 
Utakuwa umepunguza uchovu wa safari, lakini muda ni pale pale.
 
Back
Top Bottom