Ushauri: Ili kuwahi kufika Mwanza ktokea Dar es Salaam panda SGR (Dar-Dom) malizia na basi

Ushauri: Ili kuwahi kufika Mwanza ktokea Dar es Salaam panda SGR (Dar-Dom) malizia na basi

Washajiongeza. Watu wanaochukua treni mpaka Dom then bus mpaka Mwz wamekuwa wengi.
Na wenye mabasi yanayokwenda kanda ya Nyanda za juu kusini wajiongeze pia. Mabasi yao mengine badala ya kuanzia DSM yaanzie Moro
 
Safari ya Dar-Mwanza inachosha ili kupunguza muda wa safari kamata SGR mpaka Dom (kuwasili saa 4 asubuhi) kisha kwea Basi mpaka Mwanza.

Asanteni

Mwanza arrival time itakuwa baada ya masaa mangapi kwa Basi ya mwendo wa wastani ?
 
Back
Top Bottom