Ushauri: Itengwe siku maalum ya chanjo kitaifa

Ushauri: Itengwe siku maalum ya chanjo kitaifa

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Katika kuhakikisha kila mwananchi anachanjwa inapaswa kutengwa siku maalum ya chanjo nchi nzima Kama ilivyo siku ya uchaguzi Mkuu
 
Kwa chanjo mil 1? Hamjui kuwa wengi hamna hata vigezo vya kuipata hiyo chanjo?

Wajinga nyie
 
Katika kuhakikisha kila mwananchi anachanjwa inapaswa kutengwa siku maalum ya chanjo nchi nzima Kama ilivyo siku ya uchaguzi Mkuu
Kwa taarifa yako zimekuja chanjo 1m, wahitaji ni zaidi ya 10m, tupo wastani wa 60m, kila watu 60 ni 1 tu atachanjwa. Una hoja ya kusimamisha shughuli za watu 59?
 
Back
Top Bottom