Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Piga deki chumba chako mara kwa mara. Ila zaidi nenda pale Magomebi Ekenywa hospital ukapime hiyo aleji huenda kuna chakula pia hutakiwi kula.Habari wana Jf!!
Nina Allergy na mavumbi je hii hali naweza nikapata dawa ikaisha kabisa.Huwa napiga chafya mnoo mpaka nahisi joto..huwa natumia piritoni lakini hazini saidii kutuliza hali.
Ahsante.