Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole chief, dawa kuu hapo ni kuepuka hayo mavumbi ila ikitokea umeshapatana nayo ni heri utumie Cetrizine zinasaidia sana kutuliza.Habari wana Jf!!
Nina Allergy na mavumbi je hii hali naweza nikapata dawa ikaisha kabisa.Huwa napiga chafya mnoo mpaka nahisi joto..huwa natumia piritoni lakini hazini saidii kutuliza hali.
Ahsante.
pole chief, dawa kuu hapo ni kuepuka hayo mavumbi ila ikitokea umeshapatana nayo ni heri utumie Cetrizine zinasaidia sana kutuliza.