hii ni wiki ya pili tangu nilipotendwa na demu niliyemtoa bikra,anadai sina pesa yakukidhi mahitaji yake. roho inauma sana sina raha wala amani,wiki nzima nipo ndani mawazo mengi kila nikijaribu kusahau nashindwa halafu kesho naenda chuo full mawazo tu.kutendwa kunauma sana
naombeni msaada jamani niweze kuishinda hii hali
Mkuu hebu tafuta mwingine atatoka kichwani fasta lakini ukibaki bila kupata papuchi ya kuzungia mbona ugonjwa wa moyo unakuitahii ni wiki ya pili tangu nilipotendwa na demu niliyemtoa bikra,anadai sina pesa yakukidhi mahitaji yake. roho inauma sana sina raha wala amani,wiki nzima nipo ndani mawazo mengi kila nikijaribu kusahau nashindwa halafu kesho naenda chuo full mawazo tu.kutendwa kunauma sana
naombeni msaada jamani niweze kuishinda hii hali
Pole, kuna maisha baada ya kibuti mkuu....
hii ni wiki ya pili tangu nilipotendwa na demu niliyemtoa bikra,anadai sina pesa yakukidhi mahitaji yake. roho inauma sana sina raha wala amani,wiki nzima nipo ndani mawazo mengi kila nikijaribu kusahau nashindwa halafu kesho naenda chuo full mawazo tu.kutendwa kunauma sana
naombeni msaada jamani niweze kuishinda hii hali
Hivi Kwan mwanamke n yy Tu hebu tengeneza maisha yako watakuja tu