Ushauri: Jamani nimetendwa na mpenzi wangu

Ushauri: Jamani nimetendwa na mpenzi wangu

Hii ni wiki ya pili tangu nilipotendwa na msichana niliyemtoa bikra, anadai sina pesa yakukidhi mahitaji yake.

Roho inauma sana sina raha wala amani, wiki nzima nipo ndani mawazo mengi kila nikijaribu kusahau nashindwa halafu kesho naenda chuo full mawazo tu.kutendwa kunauma sana.

Naombeni ushauru jamani niweze kuishinda hii hali.
Grow up
 
Back
Top Bottom