Ushauri: Jamani nimetendwa na mpenzi wangu

Sasa wewe si una cha kujipongeza juu yake, ulimtoa bikra, na uzuri wa kwanza kufungua mlango hasahauliki kiwepesi. Wewe kapige shule tu, atajileta mwenyewe muda ukitimu.
 
Dogo unaomba msaada gani sasa hapa, unataka wanaume tukuhonge ili ukamhonge huyo demu wako au tukupe msaada gani😱

msaada wa kumsahau tu maana kila nikijitahidi nashindwa
 
msaada wa kumsahau tu maana kila nikijitahidi nashindwa

Yy amekutenda baada ya kipata mwanaume mwny hela, na ww Tafuta mwanaume mwny hela ili muende sawa dogo!😉
 

Join Date : 5th October 2015

Location : kibaha sec
Posts : 227
Rep Power : 350
Likes Received
57
Likes Given13
 
Yy amekutenda baada ya kipata mwanaume mwny hela, na ww Tafuta mwanaume mwny hela ili muende sawa dogo!😉

BIGURUBE acha dharau nitatafutaje mwanaume mwenye hela wakati mimi mwenyewe ni mwanaume..
 
Last edited by a moderator:

Pole sanhaa kiongoz@cyo peke yako tu ndo umetendwaa kila MTU ana kilio chake kwenye hata mapenz cha msing heb jichanganye na watu mbal mbal epuka kukaa peke yako mana hii mambo inakuLa balaaa@m Nina mwez tangu yanikute@nilijikqza kiume na maisha yakaendelea na as iv Nishamsahau na maisha yanaendelea
 

hawa watoto dawa yao unavigegenda unatoka nduki kali lakini ukijifanya kuvipenda utajikuta unaumia kama hivi. nikishatoka kwenye majonzi demu yoyote atakayejipitisha kwangu nafumua vibaya vibaya then napiga U turn ya hatari. wanatesa sana moyo hawa viumbe utasema vimeumbwa na shetani
 
Acha uzinzi tafuta kwanza hela
Ww huna hela unataka wanawake utamuudumia na nn sasa usjitie mawazo
 
puppa unakika hiyo bikra haikuwa ya kutengeneza? mjini hapa...pole sana
 
Last edited by a moderator:

Kama ww ndo ulimtoa dam atarudi ww nyamaza utaleta mrejesho hapa
 

Nenda shule kijana.
Epuka kuchanganya mapenzi na shule aiseeee...
 
Usiogope wala usifadhaike kila likuepukalo una kheri nalo, mshukuru Mungu huenda kuna kitu amekuepusha nacho, majaribu ni daraja la kwenda kwenye mafanikio, ww achana nae nenda zako chuo huko utakutana na watu wapya ndio utapata wako, huyo c mpango wa Mungu, tena hapo umepata somo ukipata dem mpya usimuonyeshe kwamba umemzimia mazima, sometimes unajifanya uko bize, halafu usichukue hawa ma bishoo ma sister du, tafuta dem simple
 
Kapige kitabu weee hayo hata sisi yslitukuta yakatuumiza lakini tukawa psychological stable. Jishughulishe zaid na kujenga future ya maisha ambayo ni elimu hayo mengine yatajiseti. Fanya kama umesahau vile dogo.
 
Sasa wewe si una cha kujipongeza juu yake, ulimtoa bikra, na uzuri wa kwanza kufungua mlango hasahauliki kiwepesi. Wewe kapige shule tu, atajileta mwenyewe muda ukitimu.


weweeeee msijidanganye alokutoa bikra humsahau kama huna mwingine, ukipata mwingine akaplay part yake vizur humkumbuki asilani anadani! mtu kakutoa bikra sawa hela hana kabisa anataka uwe umependeza tu all days heeeehhh,
 

Hahahahahahahahahahahaha.....kumbeb principle unaijua wewe hit and run yani ukitoka kwenye majonzi tafuta rafiki zake au wadogo zake kegegeda then pita mbio kama usain bolt anafukuzia medali ya dhahabu
 
Dada nimekupenda bure kwa point yako, engineers tuna hile don't care mbona mwenyewe atafurahi tu na roho yake lakini ukijitia mimi sijui ndio wewe tu hakuna mwingine unajitafutia maradhi ukalazwe bure


Tatizo amejua kupendwa hajajua kutendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…