Tatizo lenu hamumjui mnayemuabudu! RC na Pentecost sio dini, ni madhehebu. Na yameibuka kutokana na maono ya watu fulani fulani.
Achaneni, kila mtu akatafute wa kanisani kwake! Mnajijua hamuwezi kuachia nira ya dini, why dating out of your league?
Watu wanabadili kabila, itakua dini???
Kwanza wote ni Jesus followers, so no problem!!
Duh!
Pole Sana Mkuu...Hapo Kuna Kkwazo Vlvl Inaonekana Kla M1 Anasmamia Maamuz Na Itkad Zake,Jambo Ambalo Linawasumbua Sana Ktk Mahusiano Yenu
Kwa Mimi Hali Kama Hyo Ingentokea Ningetengeneza Mazngra Mapema Ya Kumshawish Mpenz Wangu Ya Kuwa Upande Wangu
Mwanzo 2 Wa Mahusiano ningemuulza Kama Angebadil Din Na Kuwa Upande Wangu Kabla Ha2jaingia Ktk Ndoa
Mshawish Kwa Kuongea Na Wazaz Wake na Ndugu Waliostaarbka
Ikshndkana JIVUE!
Ndio maana ndoa za bomani zikawepo kwa ajili ya watu kama nyie! Unless otherwise msipotezeane mda.
Mimi nina binti ambaye tunapendana ila tatizo ni kwamba dini zetu ni tofauti ambapo mi ni Rc huku yeye ni mpentecoste. Nimejaribu kumshawishi kubadili dini amekataa eti anawaogopa wazazi wake na nafsi yake pia.
Sasa jamani naombeni ushauri nifanyeje mimi kwa upande wangu siwezi kubadili dini kwa vile nifsi yangu pamoja na familia yangu hawatanielewa!.
Watu wanabadili kabila, itakua dini???
Kwanza wote ni Jesus followers, so no problem!!