Simple, wote ni watanzania, weusi, above 18 yrs, naamini mna akili timamu, hivyo ita wazee na ndugu wajue bila kujali wataafiki au la, ilimradi umewaambia, kisha nenda bomani kapate gamba. Haya madini (madhehebu) chana nayo kwanza, hiyo ni kasumba tu ya mambo tunayojifariji eti yatakuwepo, lakini hayajawahi kuwepo na ikitokea yakaja basi wote wanayoyaamini watakuwa wakwanza kuyaona, kuyaonja, kuyafaidi, eti imani! Isitoshe hekaya hizo za kudhania sio za asili yetu, wameleta wageni, Wazungu, Waarabu nk, na wote walikuwa na lengo la kihuni la kudumisha mila na desturi za kwao na kudharau yetu. We songa mbele na kimwana bila kuchelewa, kama mmeshapima, we mjaze mimba fasta, midomo yote itaisha hapo. Na baadae kila mmoja ataendelea kwa wakati wake kwenda kwenye dhehebu analotaka, ila kwa sisi wa kiasili tunasonga na mambo yetu. Nakutakia kila la heri