Ushauri jamani

Penzi lenu lijakomaa vizuri ndio maana linaendeshwa na misimamo ya kiselfish legezeni mioyo mtangulize upendo alafu muone kama hamtakuwa mnagombaniana kubadili dini wazazi siku hizi hawana nafasi kwenye mahusiano ya watoto iwapo wakiamua mambo yao msiwasingizie bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…