Ushauri jamani!!

mponjoly

Member
Joined
Oct 4, 2009
Posts
33
Reaction score
1
nina rafiki mtanzania anataka kuanzisha kamradi hapo tanzania!!je ni biashara gani inaweza lipa fresh hapo Tz! ikiwa pesa ya mradi ni kama milion 25 za tz?
 
Mponjoly, nobody will help you to think big!
At best you can do it yourself!
 
nina rafiki mtanzania anataka kuanzisha kamradi hapo tanzania!!je ni biashara gani inaweza lipa fresh hapo Tz! ikiwa pesa ya mradi ni kama milion 25 za tz?

Mwambie aumize kichwa. Business idea ni muhimu sana ikatoka kwake. Yeye ana mawazo ya kufanya nini?

Kama anataka hela inayokuja kilaini, basi akampe broker, yeye atajua namna ya kuzalisha kwa faida halafu wagawane (isomeke "agawiwe").
 
nina rafiki mtanzania anataka kuanzisha kamradi hapo tanzania!!je ni biashara gani inaweza lipa fresh hapo Tz! ikiwa pesa ya mradi ni kama milion 25 za tz?
Ni-PM nina biashara ya msingi sana ya kumtoa tongotongo za umasikini huyo best wako. Na hiyo 25m zinatosha sana. Ila condition huyo jamaa wako awe Mtu kutoka ng'ambo. Sitaki longolongo za Waswahili, nishachoka nao manake tunawaza kuiba tu. Shiiiiiiiiiiiit!!! Ni-PM mkubwa tufanye kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…