Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nina rafiki mtanzania anataka kuanzisha kamradi hapo tanzania!!je ni biashara gani inaweza lipa fresh hapo Tz! ikiwa pesa ya mradi ni kama milion 25 za tz?
nina rafiki mtanzania anataka kuanzisha kamradi hapo tanzania!!je ni biashara gani inaweza lipa fresh hapo Tz! ikiwa pesa ya mradi ni kama milion 25 za tz?
Ni-PM nina biashara ya msingi sana ya kumtoa tongotongo za umasikini huyo best wako. Na hiyo 25m zinatosha sana. Ila condition huyo jamaa wako awe Mtu kutoka ng'ambo. Sitaki longolongo za Waswahili, nishachoka nao manake tunawaza kuiba tu. Shiiiiiiiiiiiit!!! Ni-PM mkubwa tufanye kazinina rafiki mtanzania anataka kuanzisha kamradi hapo tanzania!!je ni biashara gani inaweza lipa fresh hapo Tz! ikiwa pesa ya mradi ni kama milion 25 za tz?
soma hii sehemu ya JF
https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/28270-mtaji-10-million.html
utapata mawazo mengi mazuri