Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Habari zenu members, naombeni ushauri wenu maana hapa nilipo nipo katika
msongo wa mawazo, ni kwamba mimi nasoma chuo flani hivi, bachelor of accountancy
nipo mwaka wa pili mwakani ikibidi ntaingia mwaka wa 3, lakini kuna ndugu yangu
anaishi uingrerza amenishauri nimalizie mwaka wa 3 huko uingereza, uingereza
nimewahi kwenda mara moja tu kwa wiki mbili mwaka huu, je ni uamuzi upi utakuwa
sahihi kwangu, members ushauri wenu ni muhimu sana kwangu