USHAURI: Jeshi la Polisi lifungue uzi maalumu hapa JamiiForums

USHAURI: Jeshi la Polisi lifungue uzi maalumu hapa JamiiForums

Championship

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
5,500
Reaction score
10,616
Ninaliomba Jeshi la Polisi liweke uzi hapa jukwaani ili wapokee maoni mbalimbali ya wananchi.
 
Nakukumbusha Hilo Gumu, Kuna Viongozi Tele Ni Members JF

Ila Kamwe Wao Wanakuja Kama Guests Maana Wakiwa Online

Thread Ama Page Yao Chap Itajaa Wauliza Mambo
 
Uzi wa Maoni Wadau watatoa Malalamiko zaidi kuliko Maoni. Nani anataka Shida!?
 
Uzi wa Maoni Wadau watatoa Malalamiko zaidi kuliko Maoni. Nani anataka Shida!?
Watatakiwa sasa washughulikie malalamiko na watumie maoni kuboresha kazi yao. Yote ni heri.
 
Back
Top Bottom