Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Wanatakiwa waje hapa wapate maoni ya wananchi ambayo ni halisia.Thubutu yao[emoji28][emoji28]
Kwa mauzauza wanayowafanyia raia,wajiandae kukimbia uzi
Hawana namna ya kukukamata. 🤣Ili tushikwe kwa kuli kashfu jeshi tukufu[emoji81]
Hawawezi kumkamata mtu. Huku ni safe house.Mkuu unataka kutukamatisha 🤔
Watatakiwa sasa washughulikie malalamiko na watumie maoni kuboresha kazi yao. Yote ni heri.Uzi wa Maoni Wadau watatoa Malalamiko zaidi kuliko Maoni. Nani anataka Shida!?