Ushauri: Jinsi gani nitaweza kutumia makala zangu kuelimisha jamii huku nikijiingizia kipato?

Ushauri: Jinsi gani nitaweza kutumia makala zangu kuelimisha jamii huku nikijiingizia kipato?

Innocenzo

Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
21
Reaction score
4
Habari zenu ndugu.

Hivi karibuni nimegundua nina uwezo (sijui tuseme kipaji) cha kuandika makala. Ninaandika makala za aina mbalimbali, zikiwemo za elimu, uongozi bora, biashara na hata michezo.

Hivyo basi naandika uzi huu kuomba ushauri ni jinsi gani ntaweza kutumia makala zangu kuelimisha jamii huku nikijiingizia kipato, ili nianze kujiajiri ili nitakapomaliza chuo kikuu niwe na mahali pa kuanzia maisha na sio kusubiri kuajiriwa.

Pia kama kuna yeyote ambaye anafahamiana na watu kama vile wahariri na waandishi wa magazeti au mahali pengine popote ntakapoweza kusambaza makala zangu kwa jamii, tafadhali niunganishe nae.
 
kila la khair.

note: ntaweza = nitaweza
ntakapoweza = nitakapoweza.
 
Habari zenu ndugu.Hivi karibuni nimegundua nina uwezo(sijui tuseme kipaji) cha kuandika makala. Ninaandika makala za aina mbalimbali,zikiwemo za elimu,uongozi bora,biashara na hata michezo.

Hivyo basi naandika uzi huu kuomba ushauri ni jinsi gani ntaweza kutumia makala zangu kuelimisha jamii huku nikijiingizia kipato,ili nianze kujiajiri ili nitakapomaliza chuo kikuu niwe na mahali pa kuanzia maisha na sio kusubiri kuajiriwa.

Pia kama kuna yeyote ambaye anafahamiana na watu kama vile wahariri na waandishi wa magazeti au mahali pengine popote ntakapoweza kusambaza makala zangu kwa jamii,tafadhali nionganishe nae.
mm nakupa wazo moja ambalo litakua msingi wa kuanzia ili hata hao wenye mgazeti wajue ww nan
Fungua Blog ambayo utachapisha makala zako na kushare links kwenye groups za watsap, facebook na twitter.
Msaada; Ntakutengenezea Blog bureeeee kaz kwako
 
Back
Top Bottom