Ulisoma combi gani? Kama unania ya kusoma education,kuna uwezekano wa kupata loan! Bodi ya mikopo wamesema wanatoa kipaumbele kwa wale watakaoomba elimu na hususani elimu ktk masomo ya sayansi(100%) na wale wa arts(50%).Kigezo cha kwanza cha kukuwezesha kuapply chuo kikuu(as stated by TCU) ni kuwa na principals 2.
Kwa hyo wewe unavigezo vyote,ishu itakuja kwenye competition! Sijaelewa tatizo lako ni nini,kwani ukiomba mkopo alafu ukakosa,ndo utashindwa kujilipia mwenyewe?
Kama hutaki mkopo,omba chuo tu,uachane na mkopo. Kujua vyuo vya kuapply,tembelea website ya TCU(Tanzania Commission for Universities) alafu usome (Students guide book).