Ushauri: Jinsi ya kujiari

Ushauri: Jinsi ya kujiari

fatuma bilaly

Member
Joined
Apr 15, 2018
Posts
7
Reaction score
13
Habari zenu wapendwa,

Nasoma diploma in accountancy nilikuwa naomba ushauri jinsi ya kujiajiri kulingana na taaluma yangu.

Asanteni
 
Habari zenu wapendwa naitwa fatma nasoma diploma in accountancy nlikuwa naomba uxhauri jinsi ya kujiajili kulingana na taaruma yangu
Ahxanteni...!
Hebu tuwasiliane kuna biashara naweza kukushirikisha uko chuo gani?
 
Naona unaalika wafu
upload_2018-4-17_7-33-30.png

Nini kimetokea hadi kasi yake ikapungua? hapa JF
 
Back
Top Bottom