Ushauri: Jinsi ya kunywa maji

Ushauri: Jinsi ya kunywa maji

apprentice1997

Senior Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
107
Reaction score
99
Habari za mchana, Nina tabia ya kugugumia Maji lita moja na nusu kwa mkupuo na Hapo nakuwa nimemaliza hadi wakati wa Kulala ndio nakunywa tenants. Je Tabia hii ya kugugumia kiasi hicho cha Maji ni sahihi kiafya? Kama Si sahihi itaniletea madhara yapi? Asante
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi juice nitamaliza hadi deli la lita 5,maji nikinywa mengi sana ujue nimetembea juani hiyo siku.
Wengine asubuhi asubuhi maji, mi nkinywa asubuhi nahisi kichefuchefu cha hatari utadhani nitatapika utumbo
 
mh kama unafanya hivyo na hupati madhara yoyote hongera mkuu ila kiafya unatakiwa unywe maji kidogo kidogo ili yafanye kazi vizuri maana ukiyanywa mengi kwa mkupuo huko sehemu ya kujihifadhi mwisho hutoka kwa wingi kwa njia ya mkojo.
 
Back
Top Bottom