Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
yan mtoto wanae mmoja huyu wanaetafuta n wapili kwahyo so kwamba hawajawah kuzaa.
Sasa kama wanae mmoja tyr wanahangaika na nn? Mmoja si anatosha! Jamani hii nchi tunazaliana mnoo, watu m48 kweli! Na bado kuna watu wanahangaika kuongeza familia? Mwee mweee (nisahangae kifipa) sion haja ya kuona ni tatizo mtoto 1, tuzingatie pia watu wanaongezeka katika rate kubwa mnoo!
Having one kid is far better than having many hasa ktk nchi za umaskini, akae hivyo hivyo!
