Ushauri: Jiondoe hapa JF Sports kama timu yako haipo kimataifa

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Salaam wakuu

Lengo la kuwepo hapa jf sports ni kupeana ushauri kuhusu mambo ya soka....lkn Je Kuna umuhimu wa kuwepo hapa kama timu Yako imetolewa/ haipo mashindano ya kimataifa (CAF)

Ushauri

Mimi naona ndugu zetu wanalunyasi wote muhamie jukwaa la mapenzi na mahusiano......mkaeendeleze kujifunza kula kimasihara ricky boy tunaomba pokea hizo kolo zote

Sababu

Kuendelea kudiscuss nao ( wanalunyasi) hapa jukwaani watu walio feli kimataifa ni sawa na mtu mwenye elimu kubwa ya masters/ uprofesa kupokea ushauri Kwa mtu wa Drs la 7.........it's unprofessional and haikubaliki

Swali wakuu: Kwanini mfungaji wa wydadi alishangilia staili ya mayele
 
Kutolewa haimaanishi kuwa simba sio timu kubwa au yanga wameipita ukubwa bado sana mnacha kujifunza kwa simba jana waarabu walikuwa wanalia walichanganyikiwa..
Umecheza unazuia tu alaf unasema umecheza kwa kiwango Cha ukubwa [emoji23] ukubwa gan Hauna hata shuti ulilopiga golini kwa mpinzan wako.????? We uliingia kwa approach ya usifungwe but ukafungwa na kutolewa umetolewa. Tofaut na miak mitatu nyuma ulichobadilika msimu huu hujafungwa 5...DANGANYA MAKOLO WENZIO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…