Salaam wakuu
Lengo la kuwepo hapa jf sports ni kupeana ushauri kuhusu mambo ya soka....lkn Je Kuna umuhimu wa kuwepo hapa kama timu Yako imetolewa/ haipo mashindano ya kimataifa (CAF)
Ushauri
Mimi naona ndugu zetu wanalunyasi wote muhamie jukwaa la mapenzi na mahusiano......mkaeendeleze kujifunza kula kimasihara ricky boy tunaomba pokea hizo kolo zote
Sababu
Kuendelea kudiscuss nao ( wanalunyasi) hapa jukwaani watu walio feli kimataifa ni sawa na mtu mwenye elimu kubwa ya masters/ uprofesa kupokea ushauri Kwa mtu wa Drs la 7.........it's unprofessional and haikubaliki
Swali wakuu: Kwanini mfungaji wa wydadi alishangilia staili ya mayele View attachment 2603426