Ushauri: JKCI na MOI zikajengwe nje ya Muhimbili

Ushauri: JKCI na MOI zikajengwe nje ya Muhimbili

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Ili ziweze kutoa huduma kwa ubora na kuipa Muhimbili eneo kubwa mle kuwa na taasisi zaidi ya moja pamesababisha kuwa na msongamano ambao mpaka sasa umesababisha magari kuanza kulipia
 
Fact mkuu and if we are being honest, We need some very serious upgrade of our national hospital. Yaani restructuring ianzie kuanzia kwa staffs mpaka kwenye renovation of infrastructures.

Ukimpeleka mgeni wa nchi za magharibi pale ukamwambia hii ndo national hospital yetu, anakuonea hadi huruma.
 
Ili ziweze kutoa huduma kwa ubora na kuipa muhimbili eneo kubwa mle kuwa na taasisi zaidi ya moja pamesababisha kuwa na msongamano ambao mpaka sasa umesababisha magari kuanza kulipia
Pale zilipo mmeshapata Mwekezaji?
 
Fact mkuu and if we are being honest, We need some very serious upgrade of our national hospital. Yaani restructuring ianzie kuanzia kwa staffs mpaka kwenye renovation of infrastructures.

Ukimpeleka mgeni wa nchi za magharibi pale ukamwambia hii ndo national hospital yetu, anakuonea hadi huruma.
Hakika mloganzila nzuri kuliko muhimbili
 
Kwanini hospital zina mortuary? Wanataka kutuambia nini?
 
Mkuu waliosababisha tuanze kulipia ni watu wanaopaki magari pale na kwenda karikoo unakuta gari ni nyingi kuliko watu waliopo hospital kumbe wameyaacha hapo toka asubuhi mpk jioni wakifunga biashara zao wanayapitia
 
Wajenge majengo ya maana waongee na na majirani wajenge parking gorofa ya kulipia
 
Wakuleteeni tu DP world wapatae wao Hospitali zote hata zile ambazo hazijajengwa
 
Back
Top Bottom