Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Marupurupu ata endelea tu kupata maana yapo ndani ya sheria... Kama lowasa na sumaye waliokuwa CDM waliendelea kulindwa na serikali na kupata stahiki zao zoteYaani aache marupurupu ya Usupika akagange njaa CDM? Hata CDM ina wenyewe.
Akikupa jibu tuletee hapa jamvini🤔.Kwanini uliondoka Chadema Kamanda Asiyechoka
Lini? Sijawahi ondoka Chadema.Kwanini uliondoka Chadema Kamanda Asiyechoka
Sijawahi kuondoka Chadema.Akikupa jibu tuletee hapa jamvini🤔.
Waweza tuthibitishia vipi?Sijawahi kuondoka Chadema.
Mkumbushe kama yupo chini ya kiapoWaweza tuthibitishia vipi?
Kuna ubaya mimi kama McdM kumkaribisha?We ndio umemkaribisha CHADEMA au Chama hebu jifunze kutofautisha.
CHADEMA wapo Lumumba ofisi za kijani siku hizi?Kuna ubaya mimi kama McdM kumkaribisha?
He is monitored, hana room ya kufanya siasa. Nafikiri CCM anaijua vizuri.Nadhani hukujua kuwa wanaCcm kuwa ni watu wabaya na wenye unafiki kiwango cha Phd. Hukufanya kosa lolote kuhoji na kueleza unavyoumia baada ya Rais Samia kukopa pesa kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ili hali kuna tozo na kodi.
Walikuvizia, ukaomba msamaha kinafiki kama walivyowanaCCM na wakakuondoa kwa mabavu.
Sasa kuna dalili kuwa hawakutaki kabisa na ni sababu ya kuw mwenyekiti wenu wa CCM hakutaki. Huu ndio wa kuja Chadema ili upate kick kama mtu unayepinga ufisadi. Karibu baba 2025 is near.
View attachment 2105447