Ushauri: Job Ndugai karibu CHADEMA, utapata heshima kubwa kwa kusimamia misingi ya katiba na kuhoji harufu ya ufisadi. Utapata kick kubwa

Aanzishe CHAMA CHAKE

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Hana shida na Heshima na kama Pesa ni HESHIMA basi Ndugai anayo ya kutosha.

#CHADEMA na #ACT
Tumewashitukia na hizi mbinu zenu za kuwavizia wazee,wastaafu wa CCM na kuwamalizia au kuwafilisi viinua mgongo vyao.

Kumbukumbu za hivi karibuni ziko hivi.
Waliofilisiwa na Chadema.
1- Edward Lowassa.
2- Frederick Sumaye.
3- Makongoro Mahanga (R.I.P).

Na mhanga wa hivi karibuni ambaye hata ukimtajia ACT tu,analia ni

Bernard Camelius Membe.

Sasa mnaanza kum~pump na Mh,Ndugai ili aingie mkenge wenu!.

Huyu bado ni mheshimiwa mbunge wa Kongwa mpaka 2025.

Mleta anaandika topic as if Ndugai kavuliwa na ubunge pia.
 
Kwahiyo chadema ndio ya kupokea rejected products za ccm? Hawa uwa hawakai learn from the past..
 
Huwa hauna akili!Sasa,huyo akienda CDM ataenda kufanya nini?
 
Kwanini asiingie kwenye tawi lenu la ACT?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…