Ushauri juu kati ya CPA au degree ya accounts nianze kipi?

Rugeji

New Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
3
Reaction score
4
Wakuu habari za leo!

Natumai mu wazima wa afya.

Wapendwa naomba niwashirikishe jambo kidogo kwa ufupi mimi ni IT Professional nafanya kazi moja ya kampuni za private hapa mjini Dar, nimekua nikipitia changamoto sana katika kazi yangu ya IT yaani natumia nguvu kubwa sana kufanikisha majukumu yangu ya kazi kitu kinachonipelekea kuamini IT sio hatma yangu japo ndio kazi inayo noweka mjini.

Mwezi uliopita nilikutana na rafiki yangu mkurugenzi wa Audit firm moja hapa Dar alinikaribisha katika ofisi yake na amekua akinifundisha jinsi wanavyofanya Audit katika makampuni mbalimbali na kuanza kujifunza jinsi wanavyofanya nimetokea kuvutiwa sana na taaluma hii naona kama moyo wangu una furaha fulani hivi.

Hivyo naomba kuuliza kati ya kuanza foundation course kuelekea kwenye CPA na kusoma degree ya accounts bora nini?
 
Degree then CPA kisha malizia na CISA i.e Certified Information System Auditor (Hapa unajumlisha IT na Audit)
 
Wakuu habari za leo!

Natumai mu wazima wa afya.

Wapendwa naomba niwashirikishe jambo kidogo kwa ufupi mimi ni IT Professional nafanya kazi moja ya kampuni za private hapa mjini Dar, nimekua nikipitia changamoto sana katika kazi yangu ya IT yaani natumia nguvu kubwa sana kufanikisha majukumu yangu ya kazi kitu kinachonipelekea kuamini IT sio hatma yangu japo ndio kazi inayo noweka mjini.

Mwezi uliopita nilikutana na rafiki yangu mkurugenzi wa Audit firm moja hapa Dar alinikaribisha katika ofisi yake na amekua akinifundisha jinsi wanavyofanya Audit katika makampuni mbalimbali na kuanza kujifunza jinsi wanavyofanya nimetokea kuvutiwa sana na taaluma hii naona kama moyo wangu una furaha fulani hivi.

Hivyo naomba kuuliza kati ya kuanza foundation course kuelekea kwenye CPA na kusoma degree ya accounts bora nini?
Kama una kichwa chepesi anza na CPA otherwise soma degree then ifwate CPA. Au soma MBA then komaa na CPA.
 
Back
Top Bottom