Mmh..
MKUU ULIFANIKIWA KUFUNGUA?Wakuu,
Nampango wa kufungua sehemu kwa ajili ya kuchoma/kuroast kitimoto. Kwa ambaye anauzoefu wa biashara hii naomba ushauri tafadhali hususani kwenye vitu vya muhimu kuzingatia kabla ya kuanza na baada ya kuanza hii biashara.
Binafsi ninampango wa kufungua sehemu ambayo siyo bar ila ni karibu na taasisi ya elimu yenye wanafunzi wengi. Ugali, Ndizi, Kitimoto, vinywaji baridi ndivyo natagemea kuviuza (Pombe haitakuwepo).
Natanguliza shukrani.
View attachment 448509
Hapana mkuu! Niliamua kuachana na wazo hilo - sababu kubwa ni changamoto ya usimamizi - hawa akina dogo hawaaminiki!MKUU ULIFANIKIWA KUFUNGUA?
Haramu ndiyo vyalika zaidi! Karibu kwenye ulimwengu wa kitimoto!!kitimoto ni haramu kula.
Wakaanga nyama hawaingii online ?Hakuna namna...nenda kwa wanaokaanga kitimoto kawaulize maswali ya msingi...wapi wanapata nyama..kilo wananunua sh ngapi...nk
Wajina lolo123 na Mimi ni lolowapi. Usijali pamoja mkuu.
sent from my Samsung S9 plus using jamiiforums mobile application.
Liliishia 2014hili wazo lilifikia wapi?
Biashara hii inalipa sana