Ushauri juu ya biashara ya kitimoto

Ushauri juu ya biashara ya kitimoto

ukianza biashara utupe location tuje kula kukuungisha mnaita...
 

Attachments

  • hjdsdu.jpeg
    hjdsdu.jpeg
    16.5 KB · Views: 244
Wakuu,

Nampango wa kufungua sehemu kwa ajili ya kuchoma/kuroast kitimoto. Kwa ambaye anauzoefu wa biashara hii naomba ushauri tafadhali hususani kwenye vitu vya muhimu kuzingatia kabla ya kuanza na baada ya kuanza hii biashara.

Binafsi ninampango wa kufungua sehemu ambayo siyo bar ila ni karibu na taasisi ya elimu yenye wanafunzi wengi. Ugali, Ndizi, Kitimoto, vinywaji baridi ndivyo natagemea kuviuza (Pombe haitakuwepo).

Natanguliza shukrani.

View attachment 448509
MKUU ULIFANIKIWA KUFUNGUA?
 
hello.
Ninauza Kuku wa kienyeji kutoka India.
Karibuni
 
Il mi hushangaa kitu kimoja,huwa nikikatiza maeneo wanayopika kitimoto,mfano kwenye vigrocery nasikia harufu fulani hivi tofauti..
Hivi ndo kusema harufu ya nyama na ng'ombe iliyokaangwa inatofautiana na ile ya nguruwe?,
maana ile harufu huwa iko tofauti sana,yaani not amazing..
 
Ndugu zangu Waislam mtanisamehe[emoji120]

Wakuu habari zenu,

Naomba kuuliza jinsi ya kusafirisha nyama ya nguruwe kutoka mikoa mingine na kuleta dsm..

Nime plan kufanya hii business, nitanunua nguruwe huko vijijin, nitachinja na kusafirisha kuleta dsm,

Sasa , kisheria nahitaji kuwa na nini, ili niweze kufanikisha swala usafirishaji, yani vibali, na vitu vingine


View attachment 1539071


View attachment 1539059
 
Fungua kampuni/Jina la biashara
TIN,
Leseni ya hiyo biashara,
Kibali TFDA,
Miundo mbinu ya usafirishaji (friza n.k)
 
Back
Top Bottom