Ushauri juu ya biashara ya kitimoto

Ushauri juu ya biashara ya kitimoto

Kwakweli ngoja nijiandae
Inalika sana, ila changamoto ni kupata iliyo fresh ndio shida kwa mjini, unakuta imekaa kwenye freezer mpaka kutengeneza uvundo, kuna kama maeneo mawili ivi, niliagiza nikakutana na ladha ambayo sio
 
Inalika sana, ila changamoto ni kupata iliyo fresh ndio shida kwa mjini, unakuta imekaa kwenye freezer mpaka kutengeneza uvundo, kuna kama maeneo mawili ivi, niliagiza nikakutana na ladha ambayo sio
Hivi kumbe wamla mdudu?
 
Nashauri usafirishe wakiwa wazima ukachinjie dar.
 
Wazee wa Mdudu, Mbuzi katoliki, Wahehe wanaita Ngubi, Kitimoto, Mkuu wa meza nakadhalika

Mkuu tuletee hio huduma, ila kwanini usafirishe nyama na sio akiwa mzima ili kupunguza siku za kukaa kwenye friji
 
Ungeweza usafirishe wakiwa bado wazima, uje uchinjie huku kitu fresh nadhani utapata wanunuzi sana, aisee kitimoto ni habari nyingine ile aisee hadi na salivate hapaa😋😋.

Ila sijawahi kuona kitimoto wakisafirishwa umbali mrefu mfano from mikoani kuja Dar labda,sijui shida ni nini au zile kelele zao?
 
Back
Top Bottom