Ushauri juu ya biashara ya kuuza na kununua vitu used (furniture na electronics)

Ushauri juu ya biashara ya kuuza na kununua vitu used (furniture na electronics)

msomi duni

Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
90
Reaction score
301
Habari wadau wa JF kama mada inayojieleza hapo..

Natamani kuanza huu biashara kwa wenye uzoefu nayo nipeni ushauri nini vya kuzingatia
 
Nina ka kitanda ka mbao kataozea store njoo ukanunue
 
Uwe na fundi makini ambae atavirekebisha na kuuza kwa bei nzuri
 
Back
Top Bottom