Ushauri juu ya Boom

Ushauri juu ya Boom

Thankz ume2awake wengine huku coz 2mesoma Boys since o-level..
 
naomba kila aliyesoma miaka mitatu au minne na kumaliza akusamehe, maana hujui ulisemalo mdogo wangu!! 600K (assuming hauli na haulipii chumba,hautoi copy yeyote, wala hununui kitu semester nzima) ujenge!?

napingana na wewe 100% dogo yupo sahihi kabisa! Wewe pesa yako ufanyie starehe alafu usingizie hivyo vitu vingne? Acha upimbi!
 
Utajenga nin kwa 225,000/,, labda chai ya maziwa iwe 100/, chapati 50/, wali nyama 300/, photokopy10/, soda 200/, chipsyai 400/, chipskuku 500/
 
2mekusoma bhana, wenye akili hawawez maliza miaka 3 au 4 wakipata boom bila hata kujenga slopu ya chumba na sebule!

labda chaimaziwa iwe 100/, wali nyama250/, chapati sh.50/, ,wali nyama sh.300/, wali maharage sh.200/, photokopi sh.5
 
So good kaka ushauri wako ni wa maana sana kwa m2 atakaejua maana ya huo ushauri.
 
napingana na wewe 100% dogo yupo sahihi kabisa! Wewe pesa yako ufanyie starehe alafu usingizie hivyo vitu vingne? Acha upimbi!

Naomba kuuliza kwanza ushawahi kuishika hela hiyo?
Au unatengeneza assumptions ndo unaongea?
Maana siwezi kubishana huku hela yenyewe hata hujui sh ngapi!
 
tatzo mnakmbilia vyuo vya mjin yan dar kwann usisome udm muce ruco teku nk coz huko maisha yapo chn kdogo kwakuwa chakula kpo
 
ndo utasave enough money to build yourself a house with that money enh??
 
Jaman nilichocomment nina uhakika nacho coz jambo nililolisema mm nshalifanya wakat nko o-level na nilikuwa napata 50,000/ kila mwez toka kwa mzaz sasa nshindwe kuongeza slopu nyngne kwa 220,000. Mbona wanachuo mnaonekana disco kila wkend, kuwapa madem zenu hela za kutolea mimba, ulevi n.k? Ukiwa na malengo unaweza kufanya kitu japo kidogo, ila kwa mlioko UDSM na UDOM kwa7bu mnashindana purchasing power na wanasiasa nachokisema kinaweza kuwa ndoto kwenu.
 
Jaman nilichocomment nina uhakika nacho coz jambo nililolisema mm nshalifanya wakat nko o-level na nilikuwa napata 50,000/ kila mwez toka kwa mzaz sasa nshindwe kuongeza slopu nyngne kwa 220,000. Mbona wanachuo mnaonekana disco kila wkend, kuwapa madem zenu hela za kutolea mimba, ulevi n.k? Ukiwa na malengo unaweza kufanya kitu japo kidogo, ila kwa mlioko UDSM nachokisema kinaweza kuwa ndoto kwenu.

Uliweza kujenga nini? I do agree doing something small is possible,
heck hata Dsm hela ya boom hiyo some forks wameweza invest in small things like Logo printing in Tshirts bussiness na kidogo kidogo wame improve up a bit
na wanaweza fanya kitu japo kidogo.
Ila kwa hiyo kauli yako ya kujenga ndo ninapopinga kiddo, thats nothing small!
Na wewe kusema "wanachuo mnaonekana disco kila wkend, kuwapa madem zenu hela za kutolea mimba, ulevi n.k?"
ni sawa na mimi kusema
''Hii form six ya sahivi ni mbumbumbu na vilaza tu. chuo wote mmeingia thanks to standardization, huruma ya tcu n.k''.
It might apply to some but not to all, so kinda learn to not generalize people hasa kwenye mambo mabaya!

Uliweza kujenga nini? I do agree doing something small is possible, heck hata Dsm hela ya boom hiyo some forks wameweza invest in small things like Logo printing in Tshirts bussiness na kidogo kidogo wame improve up a bit na wanaweza fanya kitu japo kidogo. Ila kwa hiyo kauli yako ya kujenga ndo ninapopinga kiddo, thats nothing small! Na wewe kusema "wanachuo mnaonekana disco kila wkend, kuwapa madem zenu hela za kutolea mimba, ulevi n.k?" ni sawa na mimi kusema 'Hii form six ya sahivi ni mbumbumbu na vilaza tu. chuo wote mmeingia thanks to standardization, huruma ya tcu n.k''. It might apply to some but not to all, so kinda learn to not generalize people hasa kwenye mambo mabaya!

mh mkuu mi yangu hayajawa standardized labda yako
 
Uliweza kujenga nini? I do agree doing something small is possible,
heck hata Dsm hela ya boom hiyo some forks wameweza invest in small things like Logo printing in Tshirts bussiness na kidogo kidogo wame improve up a bit
na wanaweza fanya kitu japo kidogo.
Ila kwa hiyo kauli yako ya kujenga ndo ninapopinga kiddo, thats nothing small!
Na wewe kusema "wanachuo mnaonekana disco kila wkend, kuwapa madem zenu hela za kutolea mimba, ulevi n.k?"
ni sawa na mimi kusema
''Hii form six ya sahivi ni mbumbumbu na vilaza tu. chuo wote mmeingia thanks to standardization, huruma ya tcu n.k''.
It might apply to some but not to all, so kinda learn to not generalize people hasa kwenye mambo mabaya!

NGOJA NIISHIE HAPA USHAURI USIJE UKAWA UGOMVI. NILISEMA HII INAWEZEKANA KWA WENYE AKILI NA WANAOJIZUIA NA ANASA. UKISEMA KUWA 4M6 WA MWAKA HUU WANAINGIA VYUON KWA STANDARDIZATION NA HURUMA YA TCU SI SAHIHI.
 
ndo maana ulimsababishia mpigamsuli ban kwa comment zako kama hz za kijinga kijinga Good ag_y! Standardization labda ulifanyiwaa ww na ______ yakoooo! Overrrr
 
Last edited by a moderator:
Uliweza kujenga nini? I do agree doing something small is possible,
heck hata Dsm hela ya boom hiyo some forks wameweza invest in small things like Logo printing in Tshirts bussiness na kidogo kidogo wame improve up a bit
na wanaweza fanya kitu japo kidogo.
Ila kwa hiyo kauli yako ya kujenga ndo ninapopinga kiddo, thats nothing small!
Na wewe kusema "wanachuo mnaonekana disco kila wkend, kuwapa madem zenu hela za kutolea mimba, ulevi n.k?"
ni sawa na mimi kusema
''Hii form six ya sahivi ni mbumbumbu na vilaza tu. chuo wote mmeingia thanks to standardization, huruma ya tcu n.k''.
It might apply to some but not to all, so kinda learn to not generalize people hasa kwenye mambo mabaya!

NGOJA NIISHIE HAPA USHAURI USIJE UKAWA UGOMVI. NILISEMA HII INAWEZEKANA KWA WENYE AKILI NA WANAOJIZUIA NA ANASA. UKISEMA KUWA 4M6 WA MWAKA HUU WANAINGIA VYUON KWA STANDARDIZATION NA HURUMA YA TCU SI SAHIHI.

Actual that's my point, ishia hapo maana hujajua unaloliongea. Na pia umesema "wanachuo wanaonekana disko na kuwapa hela za kutolea mimba madem zao" sio sahihi pia yeah some wanafanya hivyo ila statement zako zinaunganisha wote ndo maana nikasema ni sawa na mimi kusema "form six Hawa vilaza", some are ila sio wote! Get t! All in all i hope mpate mkopo, muende chuo salama and hopefully muone na believe me mtakua mnayaongea haya maneno kwa first year wanaofata next year ambao watakuja na kusema "wenye akili watajenga kwa hela ya boom", i did say that too its a cycle so sishangai sana.
 
Back
Top Bottom