Finder boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 608
- 150
- Thread starter
-
- #21
baba yako ni kati ya walio tunga mtihani?
nivizuri kuwa na confidence but it is too worse to be overconfidence
so try to be calm mdogo wangu
Kasome Medicine au Engineering ndiyo hutakosa ajira. Kama ulikuwa muoga wa kukosa ajira mbona ulikwenda kusoma mahistoria?
Subiri matokeo mtihani hausahishwi kwa mdomo ndugu yangu.
Nyie ndio matokeo yakija vibaya mnajinyonga.
Hongera utapata Div 1.6
DR [/QUOTE said:Nan kakudngny n 530000
WANAPOKEA KITU CHA 460000 tu no allowance
------- mnaozarau walim kwani ni dhambi kusoma education?wakati mshahara 532000 sasa
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2013. Nimesoma HKL na ninategemea kupata B ya history, B ya kiswahili, na B ya language. Hivyo naomba ushauri wa faculty gani nzuri ya kusoma chuo ambayo haitanisumbua kupata ajira nikigraduate ( faculty iyo iwe tofauti na Education). Asanteni!
MUNGU AWABARIKI!
Hivi nyie watoto mnataka kulipeleka wapi Taifa letu unataka kusomea Faculty ili uwe nani...sasa nisikilize kwa makini ni kwamba Faculty haisomewi chuo kikuu wanasomea kozi fulani Faculty ni utawala wa kozi mbalimbali.
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2013. Nimesoma HKL na ninategemea kupata B ya history, B ya kiswahili, na B ya language. Hivyo naomba ushauri wa faculty gani nzuri ya kusoma chuo ambayo haitanisumbua kupata ajira nikigraduate ( faculty iyo iwe tofauti na Education). Asanteni!
MUNGU AWABARIKI!
Nitajie mwasiasa mmoja tu aliyesoma political sciencePolital science ni nzuri tena inatoa, si unacheki wanasiasa wanavyo ila dunia
Nakushauri uchukue Law.
Unataka kusomea faculty? Somo la department unategemea kupataje?? Wewe kiboko!
Huyu dogo kituko