Kidotulotokordwak
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 286
- 43
Wadau mi so mwenyeji humu,ila naomba ushauri juu ya hii coz ya bachelor of ed with ICT ya Udom,nimechaguliwa ila cjajua kama ni kusoma comp peke yake ili kuja kufundisha comp,au unapewa masomo ya kawaida ya kufundisha?je field yake inafanyikia kwenye shule zenye comp au hata shule ambazo hazna comp?kama kuna mdau anaifaham anifahamishe,nashukuru kwa wote mtakaonifahamisha