Ushauri juu ya Kibubu changu.

Ushauri juu ya Kibubu changu.

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
376
Reaction score
127
Jaman wana JF. Naombeni ushauri juu ya kuweka pesa kidogokidogo kwa ajili ya malengo niliyojiwekea.

Nilianza kufanya hivyo tangu mwezi August 2018. Sasa nakuja kuangalia jana pesa zilizokwepo ni kidogo tofauti na matarajio. Yaani nilitegemea kupata Milion na kitu sasa nimekuta laki 6 tu.

Baada ya kumbana mke wangu vyema amekiri kuwa aliwahi kutoa tu elfu 40 kwa kubana na sindano ya nguo japo mwanzo alikuwa anakataa. Lkn inaonekana mdogo wake ndo kafanya hizo mishe baada ya kumuona dada yake anachukua pesa kwa staili hiyo japo ninapomuuliza ananijibu kimkato Sana.

Sasa Faida ya Kibubu sijaona Bado. Yaani ni Cha chuma lakini still mtu anatoa pesa hasa za noti.

Ushauri wenu tafadhali namna ya kusave pesa au Kama Kuna Design fulani ya Kibubu ambacho mtu hawezi kutoa pesa ikiingia kwa maana ya mtu wa ndani sio mwizi. Tafadhali mnisaidie yaani laki tano nimeibiwa na hapa nawaza namna ya kumrudisha mke wangu kwao walao akakae wiki 3 Halafu arudi tena. Asanteni
 
Pole sana mkuu uwe una save kwenye Tigo pesa......huyu mke wako nimwizi hawezi kuacha hiyo tabia
 
Saaaaafi kabisa kwa kuweka akiba!!!
Saaaaaaafi!!!

Ila huyo mkeo amenisikitisha sana mpumbavu huyo!!?
Yaani badala ya kukusapoti,
Yeye anakurudisha nyuma.

Shenzi kabisa huyo!!!

Au hautekelezi baadhi ya mahitaji ya familia mkuu??
 
Jaman wana JF. Naombeni ushauri juu ya kuweka pesa kidogokidogo kwa ajili ya malengo niliyojiwekea.

Nilianza kufanya hivyo tangu mwezi August 2018. Sasa nakuja kuangalia jana pesa zilizokwepo ni kidogo tofauti na matarajio. Yaani nilitegemea kupata Milion na kitu sasa nimekuta laki 6 tu.

Baada ya kumbana mke wangu vyema amekiri kuwa aliwahi kutoa tu elfu 40 kwa kubana na sindano ya nguo japo mwanzo alikuwa anakataa. Lkn inaonekana mdogo wake ndo kafanya hizo mishe baada ya kumuona dada yake anachukua pesa kwa staili hiyo japo ninapomuuliza ananijibu kimkato Sana.

Sasa Faida ya Kibubu sijaona Bado. Yaani ni Cha chuma lakini still mtu anatoa pesa hasa za noti.

Ushauri wenu tafadhali namna ya kusave pesa au Kama Kuna Design fulani ya Kibubu ambacho mtu hawezi kutoa pesa ikiingia kwa maana ya mtu wa ndani sio mwizi. Tafadhali mnisaidie yaani laki tano nimeibiwa na hapa nawaza namna ya kumrudisha mke wangu kwao walao akakae wiki 3 Halafu arudi tena. Asanteni
Usirudie hilo kosa bwana mkubwa.

Hivi unadhani mkeo ana kazi gani kama sio na kukutunzia pesa ikiwa ni yake kama vile anavyokutunzia sehemu zako za siri?
Mpe mchawi alee mwana.mkeo hapo ndo kacheza dili nae na hyo ni kwa sababu ulimtenga japo kudokoa inaweza kuwa tabia yake.

Kaa na mkeo,hakikisha mkeo ndio mtu wa kwanza kushare naye mambo kama hayo mkuu.
Ifikie hatu mkeo aone kwamba akiiba pesa zako basi anajiibia mwenyewe.zako zake zake zako=ZENU.

mimi pesa za kutunza kama hivyo naweka kwenye akaunti ya tigo pesa ya wife na wife analijua hilo jambo na nikimuambia tutoe pesa tununue kitu fulani huwa anaona ubakhiri kwa sababu anajihisi ni sehemu ya pesa hizo na anaona tabu mara huniambia "tusubiri tupate zinginee hizi tuziache" huyo ndo mke anakuwa imaara katika kutunza pesa zenu.

Wewe anza kukaa na mkeo kwa ustaarabu mueleweshane na mpaka ifike hatua aone pesa zako naye ni zake.
Japokuwa UNAWEZA UKAWA NA PESA ZAKO PRIVATE NA DHARURA KWENYE AKAUNTI YAKO YA BENK N.K SINA MAANA KWAMBA PESA ZOTE UMUONYESHE MKEO HAPANA.LAZIMA UWE NA KAPRIVACY KAKO WAZEE WAKIOMBA YA SUKARI UNAMALIZANA NAO KIMYA KIMYA SIO mpaka ukamuambie mke kwamba wazee wanataka sukari laa.

Bali kiasi cha kusave kaa na mkeo mjadili bhana.sio awe anaona tu mambo ndani na humshirikishi hapana.
 
Shukran
 
Kibubu sio njia salama siku hizi, kuna wengi wanavituhumu kuhusika na 'chuma ulete'..... so hapo kuna uwezekano mkubwa ikawa hivyo au huyo 'wife' ambaye kakiri au mdogo wake (unajua tabia zao na mazingira yenye unaishi).
 
Lol [emoji849]
 
Jaman wana JF. Naombeni ushauri juu ya kuweka pesa kidogokidogo kwa ajili ya malengo niliyojiwekea.

Nilianza kufanya hivyo tangu mwezi August 2018. Sasa nakuja kuangalia jana pesa zilizokwepo ni kidogo tofauti na matarajio. Yaani nilitegemea kupata Milion na kitu sasa nimekuta laki 6 tu.

Baada ya kumbana mke wangu vyema amekiri kuwa aliwahi kutoa tu elfu 40 kwa kubana na sindano ya nguo japo mwanzo alikuwa anakataa. Lkn inaonekana mdogo wake ndo kafanya hizo mishe baada ya kumuona dada yake anachukua pesa kwa staili hiyo japo ninapomuuliza ananijibu kimkato Sana.

Sasa Faida ya Kibubu sijaona Bado. Yaani ni Cha chuma lakini still mtu anatoa pesa hasa za noti.

Ushauri wenu tafadhali namna ya kusave pesa au Kama Kuna Design fulani ya Kibubu ambacho mtu hawezi kutoa pesa ikiingia kwa maana ya mtu wa ndani sio mwizi. Tafadhali mnisaidie yaani laki tano nimeibiwa na hapa nawaza namna ya kumrudisha mke wangu kwao walao akakae wiki 3 Halafu arudi tena. Asanteni
Peleka equity wana account za vibubu style wewe unakua unaweka tu mpaka siku yako ya kutoa
 
IMG_8545.JPG
 
Back
Top Bottom