mapunda b
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 418
- 19
mi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012 na namshukuru Mungu nimepata division 2 na mimi napenda sana CBG na EGM sasa nawaomba wana JF mnipe ufaham kidogo kuhusu comb izo mbil kwamb je wap naweza kuwa na uwanja mpana au vitugani naweza somea apo mbelen Mungu akinijalia au ipo kwa tanzania ya leo inaweza kuniongezea maalifa na mtoko katika maisha yan*AJIRA* inayolipa..
Ni hayo tu wakubwa naomben mnifumbue na kunipa ushauri wenu.....
Ni hayo tu wakubwa naomben mnifumbue na kunipa ushauri wenu.....