Ushauri juu ya Kombi ya kuchagua

Ushauri juu ya Kombi ya kuchagua

mapunda b

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
418
Reaction score
19
mi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012 na namshukuru Mungu nimepata division 2 na mimi napenda sana CBG na EGM sasa nawaomba wana JF mnipe ufaham kidogo kuhusu comb izo mbil kwamb je wap naweza kuwa na uwanja mpana au vitugani naweza somea apo mbelen Mungu akinijalia au ipo kwa tanzania ya leo inaweza kuniongezea maalifa na mtoko katika maisha yan*AJIRA* inayolipa..
Ni hayo tu wakubwa naomben mnifumbue na kunipa ushauri wenu.....
 
msaada jamani mbona kimya sana wakubwa....
 
Inategemea una lengo la kuja kuwa nan mbeleni!
Ila kiupande wangu piga egm....utakuja kusoma dgree km bcom,takwimu na uchumi na ishu nyingine nyingi
 
zote sawa tu kasoro majini BUT AJIRA SIO LAZIMA UWE UMESOMA
counter example BAKHARESA
 
kati ya hizo unahisi ipi utaimudu??? tuanzie hapo...
 
KoMBI YAKE INGEKUWA KWENYE SPECIAL SCHOOLS, NINGEKUSHAURI ,ILA KWA KUWA HAIPO KWENYE SHULE ZA VIPAJI SIWEZI KUKUSHAURI
 
kwangu mm mdogo wangu nakushauri soma cbg!!
kwa sababuu.....
1. utakuwa na uwanja mkubwa wa kuja kupewa mkopo na serikali hapo mbeleni na serikali kama huna uwezo wa kujilipia!!
2. pia, kwa masomo ya sayansi, kama utasoma kwa bidii zote, competition si kubwa sana kwenye soko la ajira, kama unavyojua kwamba watu wengi wanaogopa masomo haya ya science!!!
3. ni rahisi kuja kupata mfadhili hapo baadae kwa ajili ya kujiendeleza kama hutokuwa na uwezo au umefeli kwa kiasi fulani academically!!
4. mwisho, serikali inawahitaji sana watu wa sayansi!!!..... hebu soma kijana uje hapa TFDA tufanye kazi!!! SOMA SANA!!!
 
Inategemea una lengo la kuja kuwa nan mbeleni!
Ila kiupande wangu piga egm....utakuja kusoma dgree km bcom,takwimu na uchumi na ishu nyingine nyingi

mkubwa n lengo langu ni kuja kuwa dokta au mfamasia ila nliambiwa kuwa bila PCB n vgumu sana kufanikiwa na mimi PCB nina dcb..
 
zote sawa tu kasoro majini BUT AJIRA SIO LAZIMA UWE UMESOMA
counter example BAKHARESA

ni kwel mkuu ila si unajua kibongobongo kutoka namna iyo inakua ngumu ukizingatia weng tunatoke ktk familia sizojiweza sana ndoman tunajuki kwenye elimu il apo mbelen tuweze kujikomboa mkuu...
 
kwangu mm mdogo wangu nakushauri soma cbg!!
kwa sababuu.....
1. utakuwa na uwanja mkubwa wa kuja kupewa mkopo na serikali hapo mbeleni na serikali kama huna uwezo wa kujilipia!!
2. pia, kwa masomo ya sayansi, kama utasoma kwa bidii zote, competition si kubwa sana kwenye soko la ajira, kama unavyojua kwamba watu wengi wanaogopa masomo haya ya science!!!
3. ni rahisi kuja kupata mfadhili hapo baadae kwa ajili ya kujiendeleza kama hutokuwa na uwezo au umefeli kwa kiasi fulani academically!!
4. mwisho, serikali inawahitaji sana watu wa sayansi!!!..... hebu soma kijana uje hapa TFDA tufanye kazi!!! SOMA SANA!!!

asante sana mkubwa pia nngependa unijuze kwa hii comb ya CBG na weza kuwa na uwanja gan wa kufanya mambo kwan nlisha wai muulizia bro angu akaniambia kama unapenda kuwa dokta au mfamasia n vgumu san kuchaguliwa kwa hi comb labda kwa vyuo vya privat ambako nako n nadra sana ..
Msaada juu ya hili...
 
nakushauri usome CBG b'se unakuwa na uwanja mpana kusoma koz ambazo ni marketable kitaani,ila kakomae b'se CBG cyo ya mchezo,achana na EGM b'se ajira za takwim ni chache af wa2 wanasota kitaani
 
asant xan kk kwa ushaur wako naufanyia kam af pia naomba unijuze n mamb gan naweza fanya mbelen kwa comb hi coz mm nlilenga sana kuwa dokta hasa wa medicene sasa sijui inakuaje ap*?
 
Back
Top Bottom