mi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012 na namshukuru Mungu nimepata division 2 na mimi napenda sana CBG na EGM sasa nawaomba wana JF mnipe ufaham kidogo kuhusu comb izo mbil kwamb je wap naweza kuwa na uwanja mpana au vitugani naweza somea apo mbelen Mungu akinijalia au ipo kwa tanzania ya leo inaweza kuniongezea maalifa na mtoko katika maisha yan*AJIRA* inayolipa..
Ni hayo tu wakubwa naomben mnifumbue na kunipa ushauri wenu.....
kati ya hizo unahisi ipi utaimudu??? tuanzie hapo...mi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012 na namshukuru Mungu nimepata division 2 na mimi napenda sana CBG na EGM sasa nawaomba wana JF mnipe ufaham kidogo kuhusu comb izo mbil kwamb je wap naweza kuwa na uwanja mpana au vitugani naweza somea apo mbelen Mungu akinijalia au ipo kwa tanzania ya leo inaweza kuniongezea maalifa na mtoko katika maisha yan*AJIRA* inayolipa..
Ni hayo tu wakubwa naomben mnifumbue na kunipa ushauri wenu.....
Inategemea una lengo la kuja kuwa nan mbeleni!
Ila kiupande wangu piga egm....utakuja kusoma dgree km bcom,takwimu na uchumi na ishu nyingine nyingi
zote sawa tu kasoro majini BUT AJIRA SIO LAZIMA UWE UMESOMA
counter example BAKHARESA
kwangu mm mdogo wangu nakushauri soma cbg!!
kwa sababuu.....
1. utakuwa na uwanja mkubwa wa kuja kupewa mkopo na serikali hapo mbeleni na serikali kama huna uwezo wa kujilipia!!
2. pia, kwa masomo ya sayansi, kama utasoma kwa bidii zote, competition si kubwa sana kwenye soko la ajira, kama unavyojua kwamba watu wengi wanaogopa masomo haya ya science!!!
3. ni rahisi kuja kupata mfadhili hapo baadae kwa ajili ya kujiendeleza kama hutokuwa na uwezo au umefeli kwa kiasi fulani academically!!
4. mwisho, serikali inawahitaji sana watu wa sayansi!!!..... hebu soma kijana uje hapa TFDA tufanye kazi!!! SOMA SANA!!!
nakushauri usome CBG b'se unakuwa na uwanja mpana kusoma koz ambazo ni marketable kitaani,ila kakomae b'se CBG cyo ya mchezo,achana na EGM b'se ajira za takwim ni chache af wa2 wanasota kitaani