Ushauri juu ya kozi za kusoma

Ushauri juu ya kozi za kusoma

Hapa umetumia lugha kali na ni kawaida yako mkuu sijui huwa una matatizo gani na vijana, ushauri wako sio sheria wala si lazima akubaliane nao mwenye maamuzi ni mhusika.

Sasa dogo kakosea wapi mpaka umjie juu. Mpaka hapa ushauri wako ni batili, huwezi kuutetea mpaka utukane asiyeupokea.
Asante kwa kuliona hilo
 
Achana na wazo la kusoma diploma na degree kwa wakati mmoja.

Kasome Marine Engineering kisha ukimaliza utachagua uongeze ujuzi upande wa academic itakubidi uongeze degree na upande wa competence itabidi ukimaliza utafute meli upande kama officer cadet kisha ukirudi baada ya mwaka utafanya mtihani wa umahiri na utakuwa afisa wa 3 mhandisi melini (3rd engineer)

Kama upo vizuri kipesa direct apply Ghana,Misri au South Africa Ukasome Diploma ya Marine Engineer huko wapo na connection kubwa ya kampuni kubwa duniani utawahi kufikia ndoto yako. Kama upo vizuri zaidi kuna kozi za Diploma 2 years zinatolewa na Lloyd Register Uingereza utasoma kwa Long distance ila ada ni ndefu last time ilikuwa Usd 3000 kwa mwaka. Ukimaliza utapewa electronic bagde kwenye cheti chako na kuhusu kazi upande wa Africa utakuwa appointed na wao pia kuwa na cheti chao utatumiwa na kampuni kubwa kuzifanyia kazi maana Lloyd inaheshima kubwa duniani kwenye sekta ya marine.
Shukran sana, Ada kwa misri unaweza fika TSH ngapi. Mm nlitaka nsome Diploma nkimaliza nipate experience mwaka mmoja then nsome ETO. ETO unaionaje mkuu?
 
Ukisoma Marine Engineering utaenda seatime mwaka 1 unakuja kufanya oral.

ETO haina haja ya kusoma Marine Engineering kama sijasahau ukiwa na form 6 ili uwe na ETO utaingia darasani mwaka kisha uende baharini au utaenda baharini kisha uje usome kidogo na kupata ETO.

Kama uko vizuri tembea mbele ukasome Egypt,Ghana,India,Philipines au Singapore Marine Polytechnic
 
Shukran sana, Ada kwa misri unaweza fika TSH ngapi. Mm nlitaka nsome Diploma nkimaliza nipate experience mwaka mmoja then nsome ETO. ETO unaionaje mkuu?
Mkuu marine engineer kuna wakati hadi field wanakosa, marine engineering anafanya kazi sawa na mechanical japo haruhusiwi kufanya kazi za mechanical.
Kama malengo yako ni soko la nje marine iko poa kama ni soko la ndani jaribu kuandaa barua ya field uipitishe uone response ndio uendelee
 
Habari wana JF kwenye jukwaa la elimu, kma title inavyojieleza hapo juu. Mm ni mhitimu wa F6 mwaka 2022, bahati nzuri au mbaya matokeo yangu hayakuweza kuruhusu nijiunge na degree nlipata (DEE) kwenye masomo ya combination. Nia yangu ilikuwa kusoma data science km matokeo yangekuwa mazuri. Lkn baada ya matokeo nkapata wazo jipya.

Nia yangu ni kusoma MARINE ENGINEERING (hapo pia naomba ushauri kwa hii KOZI kwa wale wazoefu, katika utafiti wangu mdogo niliofanya naona hii ndo career sahihi) pale DMI kwa ngazi ya diploma lkn kwa wakati huohuo nataka kusoma open university kozi ya foundation ili niweze kujiunga na degree (kozi ni tofauti na hiyo diploma ndo mana nataka nifanye hivyo). Ntaka degree ya Bsc. in molecular biology and biotechnology au data science.

Pia nishawahi kusikia kuna mtu alisoma Diploma na huku anasoma degree online university lkn ya nje, na akahitimu kwa wakati mmoja.

N.b Ila kama mtu Una wazo au ushauri zaidi napokea, najua humu kuna watu wenye uzoefu na wabobezi hivyo haishindikani kupata madini ya kutosha.
Vip

NAOMBA NIKUSHAURI KWANZA MIMI NI AGE MATE MWEZAKO

NAKUSHAURI ACHA NA DIPLOMA
PIA ACHA NA KUSOMA DEGREE NA DIPLOMA WAKATI MOJA KWA SABABU YA WW BINADAMU MOJA LA WEZAKUPONYOKA

SOMA IYO FOUNDATION PROGRAM AKIKISHA UPATE GPA YA 3.5 JAPO UFAULI UANZA GPA YA 3.0 ILA WEWE HAKIKISHA UNAGPA YA 3.5 THEN NENDA DEGRER

COURSE ZA KUSOMA DEGREE AMBAZO LAZIMA UPATE KAZI IN CURRENT AND FOR FUTURE KWA NDANI NA NJE YA NCHI NA PIA UNAWEZA KUAJIRIWA NA KUJIAJIRI NA MSHAHARA MKUBWA, NI HIZI

1. COMPUTER ENGINEERING
2.SOFTWARE ENGINEERING
3.COMPUTER SCIENCE ( hii course nimeifanyia research nitaichukua level ya degree )
4.IT ( Kibongo sana)
5. Cybersecurity ( lazima uwe na connection )

Course Chaguo la pili
1. Biotechnologies engineering ( ila uwe na connection na ujuzi ) hii Iko kuajiriwa tu sio kujiajiri
2. Marine engineer ila connection lazima

NIMEMALIZA ANGALIA KIPI UNAPENDA
NAOMBA ILA MIMI PIA NASOMA FOUNDATION PROGRAM MWKAA HUU UNAWEZA KUWEKA NAMBA YAKO TUKAONGEA ZAIDI NITUMIE NAMBA YAKO KWA MAONGEZI ZAID
 
Umemaliza
 
mkuu embu nipe mwanga kwenye hii foundation course ..
 
Back
Top Bottom