siphael joseph
Member
- Feb 14, 2015
- 16
- 4
Ngoja na nisubiri majibu mkuu..Naombeni muongozo nahitaji kufungua kiwanda kidogo cha kuzalisha bidhaa za kusindika na kiwanda cha sabuni za miche mwenye ufahamu au anayefanya ujasiriamali huu naomba anipe maelekezo, naanzaje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na taratibu zinapatikana SIDO?It is posible ila unapaswa kuangalia uhitaji. Chochote unacho taka kufanya angalia uhitaji.
Techinolojia ya sabuni ni moja kati ya techinilojia rahisi sana ndo maana utaona kila aina ya sabuni siku hizi.
Ila haizuii wewe kuanzisha chako. Na muhimu ni kuangali wewe una targeti nini hasa.
Mitambo nazani SIDO wanaweza kuwa nayo hiyo ya sabuni za miche
Sent using Jamii Forums mobile app
Anza tu locally taratibu zitafuata baadaye...ukisema usubiri taratibu utasubiri sanaNa taratibu zinapatikana SIDO?
Nakushukuru mkuu ngoja ntachek na sido hope thing wil b goodIt is posible ila unapaswa kuangalia uhitaji. Chochote unacho taka kufanya angalia uhitaji.
Techinolojia ya sabuni ni moja kati ya techinilojia rahisi sana ndo maana utaona kila aina ya sabuni siku hizi.
Ila haizuii wewe kuanzisha chako. Na muhimu ni kuangali wewe una targeti nini hasa.
Mitambo nazani SIDO wanaweza kuwa nayo hiyo ya sabuni za miche
Sent using Jamii Forums mobile app
Barikiwa sana kwa huo muongozo uliompa mleta threadWazo zuri sana mkuu
Kwa uzoefu wangu kwenye swala LA usindikaji hasa chakula unahitajika uwe na chumba kimoja na store tu
Store utakuwa unawekea malighafi na chumba utakuwa unazalishia bidhaa zako na kufanya packaging humo humo ndani
Kuhusu sabuni za miche wala haihitaji eneo kubwa sana ila unatakiwa uwe na store yakuhifadhia malighafi kwani madawa ya sabuni hasa costic soda nihatari sana Kwa binadamu
Kuhusu eneo lakuzalishia waweza zalisha hata nje ilimradi pawe na KIVULI tu
Zana za kazi unaweza chonga mwenyewe au waweza nunua vile vikopo Kwa kutengenezea shape, au waweza kwenda sido Kwa ile kampuni ya temso wakakuuzia box moja Kwa 150000
Mabeseni ni Yale makubwa kuanzia Lita 60 mpaka 120, miko ile mikubwa kama yakupika pilau LA shuuli, groves nunua zile ngumu nzito sio zile za buku buku,
Nadhani kwakuanzia hapo si mbaya
love without limits
UsijaliBarikiwa sana kwa huo muongozo uliompa mleta thread
KWa hiyo unaweza kuzalishia sehemu ambayo ni open in imefunikwa tu kwa juu? Na kuhusu storage baada ya production?Wazo zuri sana mkuu
s