siphael joseph
Member
- Feb 14, 2015
- 16
- 4
Naombeni muongozo nahitaji kufungua kiwanda kidogo cha kuzalisha bidhaa za kusindika na kiwanda cha sabuni za miche mwenye ufahamu au anayefanya ujasiriamali huu naomba anipe maelekezo, naanzaje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app