Wapendwa rafiki yangu ameingia dilema. Anaomba ushauri juu ya uchaguzi wa gari ya kununua kati ya hizi option mbili alizonazo.
1. Anunue VITZ kutoka japani
a) year of make 2000
b) imetembea km 71,000
c) ina cc 990
d) inauzwa shs 7.6m mpaka anaishika mkononi lakini bila bima, ambayo atakata mwenyewe
2. Carina TI used hapa TZ with good condition reg number inaanza na C (amehakikishiwa na fundi)
a) imefungwa rim sport na muuzaji
b) ina kamera ya kuonyesha riverse kafunga muuzaji
c) ameweka radio yenye screen. Inplay DVD.
d) imetembea km 127,000
e) spoiler ya kuja na gari.
f) haijawahi kuguswa injini zaidi ya kufanyiwa service ya kawaida.
g) anauza 8m
Ushauri wenu unaombwa sana. Bajeti yake maximum ni 8m.