Niko hapa Mwanza na ninashuhudia Vjana kwa Wazee, akina Mama kwa wasichana wakienda kupata huduma kwenye Sauna.
Kwa ufahamu wangu mdogo sauna ni vyumba vilivyotengenezwa kitalaam ambapo vinachochewa moto wa kuni na vinakuwa na joto kali na hivyo mtu huingia mle ndani na kuanza kutiririsha jasho kama maji na uwezo wa kukaa mle ndani sana sana ukikaa sana ni daika 15 lazima utoke kidogo upumzike kiisha unaweza krudi tena kwenye hivyo vyumba.
Inakulazimu sana unywe maji mengi wakati unapoingia na kutoka. Wanasema unapotoa jasho jingi eti unatoa sumu mwilini na magonjwa kama malaria, gauti n.k hutayasikia tena.
Kwa vile tuna watalaam kama Madaktari niipenda kufahamu changamoto zinazohusiana na matumizi ya Sauna.
Naomba sana msaada wenu.