Ushauri juu ya matumizi ya sauna

Ushauri juu ya matumizi ya sauna

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Niko hapa Mwanza na ninashuhudia Vjana kwa Wazee, akina Mama kwa wasichana wakienda kupata huduma kwenye Sauna.

Kwa ufahamu wangu mdogo sauna ni vyumba vilivyotengenezwa kitalaam ambapo vinachochewa moto wa kuni na vinakuwa na joto kali na hivyo mtu huingia mle ndani na kuanza kutiririsha jasho kama maji na uwezo wa kukaa mle ndani sana sana ukikaa sana ni daika 15 lazima utoke kidogo upumzike kiisha unaweza krudi tena kwenye hivyo vyumba.

Inakulazimu sana unywe maji mengi wakati unapoingia na kutoka. Wanasema unapotoa jasho jingi eti unatoa sumu mwilini na magonjwa kama malaria, gauti n.k hutayasikia tena.

Kwa vile tuna watalaam kama Madaktari niipenda kufahamu changamoto zinazohusiana na matumizi ya Sauna.

Naomba sana msaada wenu.
 
Haya ni mabafu yaliyoanzia Finland. Mawe huwa yanachemshwa kisha yanamwagiwa maji. ule mvuke ndiyo unakuwa unauoga. Watu wa nchi hizo wakitoka humo hujotupa kwenye maswimming pool ya baridi. Kwa maoni yangu haya mabafu hayafai kwenye nchi zetu za joto. labda maeneo yenye baridi.
 
Na kweli,sasa mfano,bongo unamwekea nani bafu la joto wakati ukitbea mtaani tu joto mpaka kwenye meno
 
Haya ni mabafu yaliyoanzia Finland. Mawe huwa yanachemshwa kisha yanamwagiwa maji. ule mvuke ndiyo unakuwa unauoga. Watu wa nchi hizo wakitoka humo hujotupa kwenye maswimming pool ya baridi. Kwa maoni yangu haya mabafu hayafai kwenye nchi zetu za joto. labda maeneo yenye baridi.
Unatoka jasho jingi sana si la kitoto mimi mara ya kwanza nilitoa jasho takriban 1/4 ndoo
Kuna kuwa na Sufuria la maji yanayochemka then una mimi kitu kama Chapa ya Shoka au Jivan San Jivan basi unakuwa na breathing flani hivi very amazing
Ukitoka hapo utafikiri umejog 30km ngozi inakuwa lainii unapata usingizi wa kufa mtu yaani ile kitu naomba Mungu mwaka huu niikamilishe
 
Kama elii alivyosema ukizoea sauna huwezi kuacha. Mimi nimekuwa addicted na sauna sana. Naingia pale mara mbili kwa wiki na gharama yangu kwa wiki ni kama Tshs.14,000. Lakini hiyo naona siyo kitu. Nimepata nafuu sana. Kitu kama malaria, gauti na magonjwa mengine ni kama historia. Unapotoka pale unakuwa sana mwepesi. Ngozi inakuwa sana laini na ukilala unalala usingizi wa pono. Wazazi wetu huko nyuma walikuwa na sauna yao. Mfano kama mtu alikuwa naumwa kila mara waliweza kuchemsha maji kwenye chungu kikubwa na lile chungu linafunikwa na blanketi kubwa na wewe pia unafunikwa na lile blanketi kwa hiyo ule mvuke unaotaoka kwenye chungu unakufikia na mhusika kuanza kutoa jasho jingi. Wazungu wameiboresha lakini na sisi waafrika tulikuwa na sauna yetu. Sauna ni tiba hasa ukitumia chapa shoka.
 
Hii ya kuchemsha dawa za asili na kufunikwa na blanket nimefanya sana
 
Shoka na lenyewe linachemshwa?
 
Hii ya kwetu inaitwa Kujifusha (Fusho) unachanganya majani mbali mbali ya asili ikiwemo miarobaini, mivumbasi nk.. Mimi mpaka kesho natumia hii kitu!
 
Back
Top Bottom